Skip to main content

Teolojia Marejeo | Viungo vya nje | UrambazajiChuo Kikuu"Theology"Reflections on Hindu Theologykuihariri na kuongeza habari

Mbegu za diniTeolojiaDiniUkristo


elimuMunguUkristoutendajiJinafaniasiliKiarabuTauhidiWaislamuKiswahilimkopoimaniKikristoUfunuoMunguYesu KristoMitumeBibliamadhehebuMapokeo ya MitumemamlakahaiKristomaaskofuUalimu wa KanisavyuoidaraChuo KikuuMtumwanateolojia










Teolojia


Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jump to navigation
Jump to search





Augustino wa Hippo (354–430) kutoka Aljeria ya leo aliathiri teolojia duniani kote.


Teolojia, pia theolojia na thiolojia[1](kutoka maneno ya Kigiriki θέος, theos, "Mungu" + λογία, logia, "usemi") ni elimu juu ya Mungu hasa katika Ukristo. Hiyo haitenganiki na utendaji wake wa nje, yaani uhusiano wake na viumbe vyote.


Jina lingine la fani hiyo lenye asili ya Kiarabu ni Tauhidi. Hilo linatumiwa zaidi na Waislamu. Kwa Kiswahili limetungwa pia jina "Taalimungu".


Basi, ikitajwa kwa jina la mkopo kutoka Kigiriki, fani hiyo inachunguza hasa imani ya Kikristo kadiri ya Ufunuo wa Mungu uliokamilika katika Yesu Kristo na Mitume wake.


Kwa sababu hiyo inategemea hasa Maandiko Matakatifu ya Biblia, lakini pia, kadiri ya madhehebu husika, Mapokeo ya Mitume yasiyoandikwa pamoja na mamlaka hai ya Kristo waliyonayo maaskofu (Ualimu wa Kanisa).


Teolojia hufundishwa katika vyuo na katika nchi mbalimbali; iko pia kama idara ya Chuo Kikuu. Idara hizi mara nyingi zinatenganishwa kimadhehebu. Mtu aliyepita mafundisho ya chuo huitwa mwanateolojia.



Marejeo |



  1. Tahajia "teolojia" ni kawaida katika Kanisa Katoliki, "theolojia" zaidi kati ya Waprotestanti


Viungo vya nje |



  • "Theology" on Encyclopædia Britannica

  • http://www.theology.ie

  • Chattopadhyay, Subhasis. [1]Reflections on Hindu Theology in Prabuddha Bharata or Awakened India 120(12):664-672 (2014). ISSN 0032-6178. Edited by Swami Narasimhananda.




Icon-religion.png
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teolojia kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Teolojia&oldid=1055598"





Urambazaji

























(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.052","walltime":"0.060","ppvisitednodes":"value":61,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":555,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":0,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":2,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":353,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 3.220 1 Kigezo:Mbegu-dini","100.00% 3.220 1 -total"],"cachereport":"origin":"mw1334","timestamp":"20190227011721","ttl":2592000,"transientcontent":false);mw.config.set("wgBackendResponseTime":133,"wgHostname":"mw1270"););

Popular posts from this blog

Андора Зьмест Гісторыя | Палітыка | Адміністрацыйны падзел | Геаграфія | Эканоміка | Дэмаграфія | Крыніцы | Вонкавыя спасылкі | Навігацыйнае мэню"CIA World Factbook entry: Andorra"."Andorra 2008, Departament d'estadística d'Andorra"Андорарр

Інфармацыя пра «Том Ўэйтс» Асноўныя зьвесткіАбарона старонкіГісторыя рэдагаваньняўУласьцівасьці старонкіНавігацыйнае мэню